diGProx
A Place for Digitalized Information, PhotoView August 5 2009
Wednesday, January 20, 2016
Monday, August 25, 2014
Thursday, August 21, 2014
Thursday, August 14, 2014
Monday, July 30, 2012
Internet Training for mainland Journalists in Tanzania.
Hivi karibuni mmiliki wa Blog hii alikuwa katika mkoa wa Mbeya akiendesha mada
inayohusu uandishi wa habari katika enzi ya intaneti. Mafunzo yalilenga kuwa
fundisha waandishi wa mikoani namna ya kutumia mtandao kama chanzo cha habari na
pia kama chombo cha habari.
Kuanzia leo nitakuwa naandika kile alichokisema kila mmoja baada ya mafunzo hayo hasa kwa kuzingatia matarajio yake na maoni juu ya mafunzo.
Kwa leo naanza na mwanahabari anayefahamika kwa jina la Esther Macha anayefanya kazi Business Times.
Na haya ndiyo aliyoyasema:
Kabla ya kuanza mafunzo haya baadhi ya viti sikuwa nadhielewa kabisa hivyoyalipoanza mafunzo haya kuna mambo ambayo yalikuwa mageni kwangu nimwezakuyafamu kwa kiasi kikubwa na kupata uelewa zaidi juu ya matumizi ya intanetkama mwandishi wa habari.
Kitemndo cha Misa kuandaa mafunzo haya kwa waandishi wa habari ni kizuri kwaniwengi wetu kabla ya kuanza mafunzo haya vitu vingi vilikuwa ni vigumu kuvielewalakini kwa sasa tumefunguka kw a baadhi ya programu ambazo tulikuwa hatujuikabisa lakini sasa na sisi tutakuwa walimu katika maeneo yetu ya kazi kwakuwafundisha wenzetu ambao hawana uelewa kuhusu masuala ya intanet kuanziasasa.
Juu ya umuhimu nilichojifunza nitaweza kukifanyia kazi kama ambavyo nimepatauelewa kuhusu masuala ya intanet kwani ni kitu ambacho ni kizuri kitawezakunisaidia katika masuala yangu ya kazi ambayo nillikuwa siwezi kuyafanya pindikablsa sijapata mafunzo haya, lakini sasa nitakuwa na uelewa zaidi na kuwamwalimu wa waandishi wenzangu.
Hiki niklichojifunza ni kitu muhimu sana ambacho ninapaswa kufanyanyia kazi kwakile ambacho nimejifunza lakini si kukalia kitu ambacho nimejifunza balinitahakikisha nafanya yale niliyojifunza kupitia semina hii muhimuniliyopatiwa.
Ushauri wangu kuhusu mafunzo haya MISA TAN waongoze muda wa mafunzo kamahaya kwa waandishi wa habari ili waweze kuwa na uelewa zaidi kuhusu masuala yaintanet na pia wajaribu kuongeza idadi ya waandishi wa habari kwani wapowengine ambao hawana uelewa kuhusu uandishi wa intanet hali inayowafanya kazi zaoziwe ngumu kufanya ,katika niombe tena MISA TAN waombe wadhadhili wasaidie hiliili waandishi wa habari wapate kuwa na uelewa zaidi.
Sawa tunatambua kuwa bajeti ya MISA ilikuwa kidogo lakini kwa siku nyingineambayo mtakuwa mnataka kuandaa mafunzo kama haya ongozeni idadi ya waandishi namuda wa mafunzo ili tuweze kupata uelewa zaidi kwani mafunzo ni mazuri sana.
Mwalimu amejitahidi kufundisha kwa kadri ya uwezo wake licha waandishi wengine kuwabize na kuandika stori bado aliweza kufundisha ili kila mmoja wetu aweze kukipata kile alichofundisha .
Tunawashukuru sana.

Sunday, July 29, 2012
Internet Training for mainland Journalists in Tanzania.
Hivi karibuni mmiliki wa Blog hii alikuwa katika mkoa wa Mbeya akiendesha mada inayohusu uandishi wa habari katika enzi ya intaneti. Mafunzo yalilenga kuwa fundisha waandishi wa mikoani namna ya kutumia mtandao kama chanzo cha habari na pia kama chombo cha habari.
Kuanzia leo nitakuwa naandika kile alichokisema kila mmoja baada ya mafunzo hayo hasa kwa kuzingatia matarajio yake na maoni juu ya mafunzo.
Kwa leo naanza na mwanahabari anayefahamika kwa jina la Johnson Jabir anayefanya kazi katika redio iitwayo Mbeya FM.
Na haya ndiyo aliyoyasema:
Nafasi: Mwana habari
SEMINA YA SIKU 3 KUHUSU MATUMIZI YA INTANETI KATIKATASNIA YA HABARI
Matarajio.
Unaposemamatarajio ni nini unategemea kupata ama kufanya kutoka upande Fulani ama chanzoFulani. Kwa upande wangu nalitegemea kuona kwamba sasa ufahamu wanguutafunguliwa katika masuala mbalimbali ya matumizi ya Intaneti hasa ukizingatiakwamba katika Ulimwengu wa Utandawazi kuna umuhimu mkubwa wa mimi kamamwanahabari kujua.
Painilitegemea kuona napokea changamoto za intaneti nje ya mkoa wa Mbeya, Tanzaniana nje ya Tanzania. Na vipi naweza kuzikabili changamoto hizo.
Aidhanilitarajia kuwa ningepata uzoefu wa walio katika kiwango cha juu katika matumizi ya Kompyuta katika tasnia ya habari wakionyesha uzoefu.
KUNAchangamoto kubwa sana katika suala zima la KLABU za waandishi habari hivyokuzileta semina hizi na kutaka klabu zisimamie ni makosa makubwa sana lakininiwashukuru tena kwamba mlifanya jambo la maana kwani mimi sikio katika PressClub lakini ni wamndishi habari ambaye nimepata mafunzo hayo hii inadhihirishanamna ambavyo mmeona changamoto ndani ya PRESS CLUB nchini Tanzania muendeleehivyo hivyo kujikita katika waandishi habari wenye nia kweli ya kufanya kazikatika tasnia hii sio kwasababu ya posho za siku za semina kwani kumekuwa nanjaa kali sana kwa wengi wa watu kutaka kila semina aendee sio kwasababu yaumuhimu wa ile semina baliPOSHO.

Jina: Johnson Jabir
Kutoka: Redio Mbeya FMNafasi: Mwana habari

Umuhimu.
Umuhimu wamafunzo haya nimeupata kwani mambao mengi
nimefunguliwa sana ikiwemo suala zimala Intaneti kubadili jamii ya sasa,
Utafiti kupitia intaneti mabapo zamaninilikuwa sifahanyi sana pia ujuzi wa
kutumia barua pepe na changamoto zakelakini kubwa zaidi ilikuwa ni Usalama wa
Teknolojia ya habari.
Umuhimu huounakuja kutokana na kwamba tunakoelekea katika
tasnia ya habari kunahitajikujali muda, umakini katika kazi, uharaka wa kazi
yenyewe, uhakiki wa kaziyenyewe na Biashara
Ushauri.
Semina hii imeletea changamoto kubwa sana kwa tasnia ya
habari mkoaniMbeya hasa ukizingatia wengi kuna baadhi ya mambo tulikuwa
tukifanya tu. Shukraniziwaendee waandaji wa mafunzo haya. Ushauri ni kwamba
Semina hizi zifanyike kwamwaka mara mbili tu itasaidia. Kubwa zaidi ziwalengee
waandishi wa habari marabaada ya kufanya utafiti wa mwandishi huyo wa habari
sio kwasababu anafahamikatu bali hata anapokuwa katika chombo chake kwani kuna
wengi ni waandishi wahabari wa “kimagumashi” hiyo imeshuhudiwa katika semina
hii waliotarajiwa kujawengi hawakuja. Mbaya sana hii.
Mengineyo
KUNAchangamoto kubwa sana katika suala zima la KLABU za waandishi habari hivyokuzileta semina hizi na kutaka klabu zisimamie ni makosa makubwa sana lakininiwashukuru tena kwamba mlifanya jambo la maana kwani mimi sikio katika PressClub lakini ni wamndishi habari ambaye nimepata mafunzo hayo hii inadhihirishanamna ambavyo mmeona changamoto ndani ya PRESS CLUB nchini Tanzania muendeleehivyo hivyo kujikita katika waandishi habari wenye nia kweli ya kufanya kazikatika tasnia hii sio kwasababu ya posho za siku za semina kwani kumekuwa nanjaa kali sana kwa wengi wa watu kutaka kila semina aendee sio kwasababu yaumuhimu wa ile semina baliPOSHO.
MWISHO.
Monday, February 7, 2011
Torres from the Back Door
Photo by BBC Sports website
It's hard to think about this. Fernando Toress going out red, arms on the back of the neck made most of the LFC fans mad. It made a story of the month, the week and the day on the deadline day of the January transfer window. Now look at this he comes out from the back door blue, an arm covering his face. What news does this make to Chelsea fans? Tell me you LFC fans, how does this taste to you? I can imagine how bad day was for him. I can sympathize with him, not because I feel sorry for what happened to him during his debut at Chelsea, but because he made a wrong choice leaving the great LFC. YNWA LFC.

Monday, January 31, 2011
Torres to Chalsea
Photo by BBC Sport website.
Waswahili huseme "Mtoto akililia wembe mpe". Kwa maoni yangu Torres kuihama Liverpool na kwenda Chelsea ni sawa na kuingia chumba chenye giza wakati huna uhakika kama kuna balbu, huku ukiacha chumba chenye mwanga. Namalizia kusema kama waswahili wasemavyo kwamba "hasira hasara" au "Mkataa pema pabaya pamwita". Nawashauri uongozi wa LiverpoolFC wamwache aende maana si yeye aliyeianzisha Liverpool na imepata mafanikio makubwa hata kabla yeye (Torres) hajazaliwa. Sikio haliwezi kusidi kichwa. Napenda Kumnukuu Dalglish aliyesema leo tarehe 31 Januari 2011 kwamba "timu hii ni muhimu na kumbwa kuliko mtu yeyote".
Friday, December 17, 2010
Monday, February 22, 2010
TUDARCo Trip to IUCO Radio Studio Snaps
Subscribe to:
Posts (Atom)