Pages

Monday, January 31, 2011

Torres to Chalsea


Photo by BBC Sport website.
Waswahili huseme "Mtoto akililia wembe mpe". Kwa maoni yangu Torres kuihama Liverpool na kwenda Chelsea ni sawa na kuingia chumba chenye giza wakati huna uhakika kama kuna balbu, huku ukiacha chumba chenye mwanga. Namalizia kusema kama waswahili wasemavyo kwamba "hasira hasara" au "Mkataa pema pabaya pamwita". Nawashauri uongozi wa LiverpoolFC wamwache aende maana si yeye aliyeianzisha Liverpool na imepata mafanikio makubwa hata kabla yeye (Torres) hajazaliwa. Sikio haliwezi kusidi kichwa. Napenda Kumnukuu Dalglish aliyesema leo tarehe 31 Januari 2011 kwamba "timu hii ni muhimu na kumbwa kuliko mtu yeyote".

No comments:

Post a Comment