Pages

Monday, July 30, 2012

Internet Training for mainland Journalists in Tanzania.

Hivi karibuni mmiliki wa Blog hii alikuwa katika mkoa wa Mbeya akiendesha mada inayohusu uandishi wa habari katika enzi ya intaneti. Mafunzo yalilenga kuwa fundisha waandishi wa mikoani namna ya kutumia mtandao kama chanzo cha habari na pia kama chombo cha habari.

Kuanzia leo nitakuwa naandika kile alichokisema kila mmoja baada ya mafunzo hayo hasa kwa kuzingatia matarajio yake na maoni juu ya mafunzo.

Kwa leo naanza na mwanahabari anayefahamika kwa jina la Esther Macha anayefanya kazi Business Times.

Na haya ndiyo aliyoyasema:

Kabla ya kuanza mafunzo haya baadhi ya viti sikuwa nadhielewa kabisa hivyoyalipoanza mafunzo haya kuna mambo ambayo yalikuwa mageni kwangu nimwezakuyafamu kwa kiasi kikubwa na kupata uelewa zaidi juu ya matumizi ya intanetkama mwandishi wa habari.
Kitemndo cha Misa kuandaa mafunzo haya kwa waandishi wa habari ni kizuri kwaniwengi wetu kabla ya kuanza mafunzo haya vitu vingi vilikuwa ni vigumu kuvielewalakini kwa sasa tumefunguka kw a baadhi ya programu ambazo tulikuwa hatujuikabisa lakini sasa na sisi tutakuwa walimu katika maeneo yetu ya kazi kwakuwafundisha wenzetu ambao hawana uelewa kuhusu masuala ya intanet kuanziasasa.

Juu ya umuhimu nilichojifunza nitaweza kukifanyia kazi kama ambavyo nimepatauelewa kuhusu masuala ya intanet kwani ni kitu ambacho ni kizuri kitawezakunisaidia katika masuala yangu ya kazi ambayo nillikuwa siwezi kuyafanya pindikablsa sijapata mafunzo haya, lakini sasa nitakuwa na uelewa zaidi na kuwamwalimu wa waandishi wenzangu.

Hiki niklichojifunza ni kitu muhimu sana ambacho ninapaswa kufanyanyia kazi kwakile ambacho nimejifunza lakini si kukalia kitu ambacho nimejifunza balinitahakikisha nafanya yale niliyojifunza kupitia semina hii muhimuniliyopatiwa.

Ushauri wangu kuhusu mafunzo haya  MISA TAN waongoze muda wa mafunzo kamahaya kwa waandishi wa habari ili waweze kuwa na uelewa zaidi kuhusu masuala yaintanet na pia wajaribu kuongeza idadi ya waandishi wa habari kwani wapowengine ambao hawana uelewa kuhusu uandishi wa intanet hali inayowafanya kazi zaoziwe ngumu kufanya ,katika niombe tena MISA TAN waombe wadhadhili wasaidie hiliili waandishi wa habari wapate kuwa na uelewa zaidi.

Sawa tunatambua kuwa bajeti ya MISA ilikuwa kidogo lakini kwa siku nyingineambayo mtakuwa mnataka kuandaa mafunzo kama haya ongozeni idadi ya waandishi namuda wa mafunzo ili tuweze kupata uelewa zaidi kwani mafunzo ni mazuri sana.

Mwalimu amejitahidi kufundisha kwa kadri ya uwezo wake  licha waandishi wengine kuwabize na kuandika stori bado aliweza kufundisha ili kila mmoja wetu aweze kukipata kile alichofundisha .

Tunawashukuru sana.

No comments:

Post a Comment